Maswali na Majibu

Makala Iliyoangaziwa

Jibu la Swali: Mtazamo wa Marekani Kuhusu Suluhu la Tatizo la Kupro

(Ofisi ya Rais wa Uturuki ilitangaza Jumatatu kwamba Rais wa Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini, Tufan Erhurman, atazuru Ankara Alhamisi ijayo, 2025/11/13. Mkuu wa Idara ya Mawasiliano katika Ofisi ya Rais wa Uturuki, Burhanettin Duran, alisema ziara ya Erhurman Ankara inafuatia mwaliko wa Rais Erdoğan, na Duran aliongeza kuwa ziara hiyo itakuwa kituo cha kwanza cha Erhurman nje ya nchi. Mnamo Oktoba 19, Tume Kuu ya Uchaguzi huko Kupro ya Kituruki ilitangaza ushindi wa kiongozi wa Chama cha Republican cha Kituruki, Tufan Erhurman, katika uchaguzi wa urais.

Soma zaidi
4 / 42