Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Trump Anataka Kuitega Hamas Katika Mtego wa Mgawanyiko!

Trump Anataka Kuitega Hamas Katika Mtego wa Mgawanyiko!

Tangu Marekani iliporejea katika uwanja wa Wapalestina kwa nguvu, haswa chini ya uongozi wa Trump, ilionekana wazi kuwa haitafuti suluhu ya mzozo, bali kuunda upya ili kuhudumia mradi wa udhibiti wa taasisi ya Kiyahudi, na kuvunja umoja wa uamuzi wa Wapalestina. Jambo hatari zaidi lililotokana na mchakato huu lilikuwa ni jaribio la kuivuta Hamas katika mtego wa mgawanyiko chini ya anwani nzuri kama vile ujenzi mpya, utulivu, maendeleo ya kiuchumi ... na mengineyo.

Sabah News: Hizb ut-Tahrir Jimbo la Sudan: Kufanya Ujasusi na Nchi za Nje, Kubeba Silaha, na Kukiuka Uadilifu ndiyo Njia Rahisi ya Kuwa Waziri na Kutawala

Sabah News: Hizb ut-Tahrir Jimbo la Sudan: Kufanya Ujasusi na Nchi za Nje, Kubeba Silaha, na Kukiuka Uadilifu ndiyo Njia Rahisi ya Kuwa Waziri na Kutawala

Msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir - Jimbo la Sudan - Ibrahim Othman Abukhalil alisema kuwa njia rahisi ya kuwa waziri na kuchukua hisa katika utawala ni kufanya ujasusi na nchi za nje, kubeba silaha, na kukiuka uadilifu wa wasio na hatia, bali imekuwa ni jambo la kawaida linalozingatiwa ambalo halipati dharau yoyote, bali hata viongozi wa jamii kutoka kwa wasomi, wanahabari na wanasiasa, huweka huduma zao chini ya miguu ya mawakala wanaofanya ujasusi na nchi za nje. Abukhalil alisema katika mkutano na waandishi wa habari uliopewa kichwa

1 / 10603