null
null
Trump alitaja katika chapisho kwenye jukwaa la Truth Social: [Iran na Israel lazima zifikie makubaliano na zitafikia kama vile nilivyoifanya India na Pakistan kufikia makubaliano.. Akaendelea: Na vivyo hivyo kutakuwa na amani hivi karibuni kati ya Israel na Iran, kuna mazungumzo na mikutano mingi inayoendelea sasa. Sky News, 2025/6/15]. Msemaji wa jeshi la utawala wa Kiyahudi kupitia jukwaa la "X" alisema siku ya Jumapili [Kwamba Israel imetoa onyo kwa Wairani wanaoishi karibu na mitambo ya nyuklia nchini Iran kuhamisha makazi yao... huku msemaji wa jeshi la Israel akisema kuwa jeshi
Soma zaidi ←