
20/6/2025
Abu Wadaha News: Taarifa kutoka Hizb ut-Tahrir Kuhusu Kukamatwa kwa Mmoja wa Wanachama Wake
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mamlaka za usalama katika mji wa Al Qadarif zinawakamatwa vijana wa Hizb ut-Tahrir kwa kulinusuru shirika la Kiyahudi!
Kufuatia vijana wa Hizb ut-Tahrir katika mji wa Al Qadarif kufanya mazungumzo ya umma katika soko la Al Qadarif, karibu na Hospitali ya Meno, Alhamisi iliyopita 23 Dhul Hijjah 1446 AH, sawia na 19/6/2025 AD, ambapo Ustadh Awad Muhajir, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir, alizungumza kuhusu hali halisi ya vita na shirika la Kiyahudi, na furaha ya Waislamu kwa kulipiga shirika hili, na kiu ya watu ya ushindi dhidi ya shirika hili linalokalia ardhi takatifu, safari ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, akisisitiza ulazima wa kusimamisha Khilafah Rashidah kwa njia ya Utume, ambayo itaiokoa Palestina, na nchi nyingine za Waislamu zinazokaliwa. Ambapo waliohudhuria walishirikiana vyema na hotuba hiyo, na kulikuwa na maoni bora kutoka kwa waliohudhuria…
Mara tu mazungumzo yalipokamilika, na kabla mkutano haujatawanyika, magari matatu ya vyombo vya usalama yalifika, na kuwakamata vijana watatu wa Hizb ut-Tahrir, ambao ni ndugu: Al-Mahi Abidin, Maisara Yahya, na Muhammad Yahya, pamoja na mtu wa nne kutoka kwa waliohudhuria, na waliwapiga na kuwafunga macho. Kisha wakawapeleka mahali kusikojulikana, na kuchukua nao kifaa cha sauti kilichotumika katika mazungumzo, huku waliohudhuria wakishangazwa na kitendo hicho cha ajabu, na waliokamatwa hawajaachiliwa hadi kuandikwa kwa taarifa hii!!
Kutokana na kitendo hiki cha kinyama, sisi katika Hizb ut-Tahrir/Wilaya ya Sudan tunasisitiza yafuatayo:
Kwanza: Tunaishutumu serikali kwa usalama wa ndugu waliokamatwa, na tunawaonya, na vibaraka wao, dhidi ya matendo kama hayo ambayo hayafanani na Uislamu na Waislamu, na yanaishia katika msimamo wa upande wa Mayahudi, ndugu wa nyani na nguruwe, na wale wanaowaunga mkono miongoni mwa makafiri wakoloni, na watawala wa nchi za dhiki katika nchi za Waislamu, ambao wanafikiri kila ukelele ni dhidi yao, Mwenyezi Mungu awalaani, wanaendeshwaje!
Pili: Kitendo hiki cha ajabu na cha kutiliwa shaka, kutoka kwa wale ambao walipaswa kuwanusuru ndugu zao huko Palestina, kinathibitisha kuwa tawala hizi, pamoja na mfumo wa utawala nchini Sudan, ni maadui wa umma, na kazi yao ni kulinda shirika la Kiyahudi lililoharibika, na kutekeleza njama za makafiri wakoloni katika nchi yetu. Na vita visivyo na maana vinavyoendelea nchini Sudan ni mojawapo ya matokeo ya kufuata utekelezaji wa mipango ya Amerika; mlezi wa shirika la Kiyahudi, na adui wa Uislamu na Waislamu.
Tatu: Hakika Khilafah ambayo inawaogopesha Mayahudi, na watawala wa Magharibi makafiri wakoloni, na pamoja nao vibaraka wao kutoka kwa watawala wa nchi ndogo za dhiki katika nchi za Waislamu, tunasema kwamba Khilafah hii inakuja bila shaka, na huu ndio wakati wake, na huu ndio wakati wake kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu na msaada wake, na hapo itawalipiza kisasi wale wote waliofanya uhalifu dhidi ya umma huu.
Mwisho, tunauambia mfumo tawala nchini Sudan, na vyombo vyake vya usalama ambavyo vilifanya kitendo hiki kiovu, tunawaambia waachilie mara moja wito wa haki, na mcheni Mwenyezi Mungu na mjue kwamba Mwenyezi Mungu hatengenezi kazi ya waharibifu, kwa hivyo msiwe chombo katika kupambana na Uislamu na wito wake, na msipatwe na udhalili katika dunia hii, na adhabu kali katika Akhera.
﴿WALE WANAOPENDELEA MAISHA YA DUNIA KULIKO AKHERA, NA WANAZUIIA NJIA YA MWENYEZI MUNGU NA WANATAFUTA UPOTOFU WAKE, HAO WAMO KATIKA UPOTOFU MKUBWA﴾
Ijumaa 24 Dhul Hijjah 1446 AH
20/06/2025 AD
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
katika Wilaya ya Sudan
Chanzo: Abu Wadaha News
