August 13, 2025 561 views

Denmark: Maandamano mbele ya Ubalozi wa Misri huko Copenhagen!

Denmark: Maandamano mbele ya Ubalozi wa Misri huko Copenhagen!

Mbele ya mauaji ya kinyama (mauaji ya halaiki) yanayoendelea kwa miezi 22, yanayofanywa na chombo cha Wayahudi wahalifu dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotea kwa zaidi ya Waislamu 210,000 hadi sasa, Hizb ut-Tahrir / Denmark iliandaa maandamano katika mji mkuu wa Copenhagen mbele ya Ubalozi wa Misri kuunga mkono na kuomba msaada kwa watu wetu huko Gaza na Palestina yote inayokaliwa kuanzia mto wake hadi bahari yake, na Ustadh Abdul Rahman Muhammad, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir nchini Denmark, alitoa hotuba kwa waliohudhuria.

Ijumaa, 14 Safar Al-Khair 1447 AH, sambamba na 08 Agosti 2025 BK

Denmark

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Denmark

Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea tovuti za Hizb ut-Tahrir / Denmark:

Tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir nchini Denmark

Ukurasa rasmi wa Hizb ut-Tahrir nchini Denmark kwenye Facebook

Denmark

More from null