Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Hotuba Iliyotolewa na Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan Mbele ya Msikiti wa Kale katika Mji wa Port Sudan Siku ya Ijumaa 1/8/2025
Press Release

Hotuba Iliyotolewa na Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan Mbele ya Msikiti wa Kale katika Mji wa Port Sudan Siku ya Ijumaa 1/8/2025

August 01, 2025
Location

Hotuba Iliyotolewa na Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan

Mbele ya Msikiti wa Kale katika Mji wa Port Sudan Siku ya Ijumaa 1/8/2025

Enyi waumini, enyi Waislamu, enyi wafuasi wa Nabii ﷺ, enyi wajukuu wa viongozi washindi, enyi wana wa umma bora uliotolewa kwa watu:

Je, hii inawezekana kwenu?! Mnakulaje, mnakunywa, na kulala, wakati ndugu zenu huko Gaza wanauawa, wanahamishwa, na wana njaa mikononi mwa Wayahudi wavamizi wa msikiti wa Mtume ﷺ?! Hakika dhambi iko juu yetu sote ikiwa hatutawasaidia ndugu zetu huko Gaza, na hatutawasaidia isipokuwa majeshi ya umma yatakapoondoka, kwani wao ni watoto wenu na ndugu zenu, na hakuna atakayewaondoa Wayahudi isipokuwa dola ya Waislamu; Khilafah, na hii inamaanisha kuwa mnafanya kazi na wafanyakazi, na mnamsaidia Hizb ut-Tahrir, ili isimamishe Khilafah, na kuwaua Wayahudi, uthibitisho wa hadithi ya Mtume ﷺ, iliyotolewa na Imam Muslim katika Sahih yake: «Hakika mtawapiga vita Wayahudi na mtawaua».

Enyi Waislamu:

Hakika wajibu wa kisheria ni kuwasaidia ndugu zenu Waislamu huko Gaza, Mtume ﷺ anasema: «Damu za Waislamu zinafanana, na mtu wao wa chini anajitahidi kwa ajili ya ahadi yao, na wao ni mkono mmoja dhidi ya wengine».

Enyi majeshi katika nchi za Waislamu, na enyi watu wa nguvu na ulinzi, hasa wale walio karibu na Palestina:

Je, kuna udhuru wowote uliobaki kwa mwenye kuomba udhuru, na je, kuna hoja yoyote iliyobaki kwa mwenye kutoa hoja? Mnawezaje kuona na kusikia uchokozi wa Wayahudi na mauaji yao, kuzingirwa kwao, na kuwanyima watu wa Gaza njaa mpaka kufa, na mko kimya mahali penu, bila ya harakati, badala ya kuelekea katika ardhi ya mapambano, na kujibu uchokozi wa Wayahudi, na kuondoa taasisi yao iliyoharibika?! Hakika hamna udhuru wowote kwenu, na mnaweza kuangusha viti vya enzi vinavyowazuia kusonga mbele kuwasaidia ndugu zenu, kwani Mungu hatakubali kutoka kwenu isipokuwa kuwasaidia ndugu zenu na mnaweza, narudia: mnaweza, kwani ikiwa hamfanyi hivyo, basi mna hatia, na damu za ndugu zenu ziko juu yenu.

Haya angusheni viti vya enzi vya wale wanaokwepa, na mpe nusra Hizb ut-Tahrir ili isimamishe Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume, ili ikomboe Palestina, na nchi zote za Waislamu zilizokaliwa, na kuiondolea dunia uovu wa Wayahudi, na wasaidizi wao; kutoka Amerika na wahalifu wengine.

﴿Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuwaiteni kwenye jambo la kukuhuisheni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu huingilia baina ya mtu na moyo wake, na kwamba kwake Yeye mtakusanywa.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir

katika Wilaya ya Sudan

{gallery}2025_08_01_Sudan_OS_2_Pics.{/gallery}

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-019862c6-1f00-7321-81f5-a4d89fef90e5