Kituo cha Anga cha Tisa:Kipindi cha Ribat Ulamaa "Nani Ataokoa Gaza?"
Kituo cha Anga cha Tisa kilimkaribisha Sheikh Adnan Mazyane, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Lebanon katika kipindi cha "Ribat Ulamaa" na kipindi kilikuwa kuhusu "Nani Ataokoa Gaza?".
Ijumaa, 16 Muharram Al-Haram 1447 Hijria, sawa na 11 Julai 2025 Miladia
