Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mamlaka za Usalama katika Mji wa Al Qadarif Zawakamata Vijana wa Hizb ut Tahrir Kuinusuru Taasisi ya Kiyahudi!
Kufuatia hatua ya vijana wa Hizb ut Tahrir katika mji wa Al Qadarif kuwahutubia halaiki katika soko la Al Qadarif, karibu na hospitali ya meno, jana Alhamisi tarehe 23 Dhul Hijja 1446 Hijria, sawia na 2025/6/19 Miladia, ambapo Ustadh Awad Muhajir, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, alizungumzia uhalisia wa vita na taasisi ya Kiyahudi, na furaha ya Waislamu kwa kuipiga taasisi hii, na hamu ya watu ya kushinda taasisi hii inayokalia ardhi takatifu, msafara wa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, akisisitiza ulazima wa kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, ambayo itaikomboa Palestina, na nchi zingine za Waislamu zinazokaliwa. Ambapo waliohudhuria waliingiliana vyema na hotuba, na kulikuwa na michango bora kutoka kwa waliohudhuria...
Mara tu hotuba ilipomalizika, na kabla ya umati kutawanyika, magari matatu ya idara za usalama yalifika, na kuwakamata vijana watatu wa Hizb ut Tahrir, ambao ni ndugu: Al-Mahi Abidin, Maisara Yahya, na Muhammad Yahya, pamoja na mtu wa nne kutoka kwa waliohudhuria, na kuwapiga, na kuwafunga macho. Kisha wakawapeleka mahali kusikojulikana, na kuchukua nao kifaa cha sauti kilichotumiwa katika hotuba, katikati ya mshangao wa waliohudhuria kwa kitendo hiki cha ajabu, na hawajaachiliwa huru waliokamatwa hadi kuandikwa kwa taarifa hii!!
Kuhusiana na kitendo hiki cha kinyama, sisi katika Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan tunasisitiza yafuatayo:
Kwanza: Tunalichukulia serikali jukumu la usalama wa ndugu waliokamatwa, na tunawaonya, na vibaraka wao, dhidi ya matendo kama haya ambayo hayafanani na Uislamu na Waislamu, na yanaishia katika kambi ya kusimama na Mayahudi ndugu wa nyani na nguruwe na wale wanaowaunga mkono kutoka kwa makafiri wakoloni, na kutoka kwa watawala wa nchi za dhara katika nchi za Waislamu, ambao wanafikiria kila ukelele ni dhidi yao, Mwenyezi Mungu awaangamize vipi wanageuzwa!
Pili: Kitendo hiki cha ajabu na cha kutiliwa shaka, kutoka kwa wale ambao ilibidi wawanusuru ndugu zao huko Palestina, kinathibitisha kuwa tawala hizi, pamoja na mfumo wa utawala nchini Sudan, ni maadui wa umma, na jukumu lao ni kulinda taasisi ya Kiyahudi iliyopotoshwa, na kutekeleza njama za makafiri wakoloni katika nchi yetu. Na vita visivyo na maana vinavyoendelea nchini Sudan ni mojawapo ya matokeo ya kufuata utekelezaji wa mipango ya Amerika; mlinzi wa taasisi ya Kiyahudi, na adui wa Uislamu na Waislamu.
Tatu: Hakika Khilafah ambayo inawaogopesha Mayahudi, na watawala wa Magharibi makafiri wakoloni, na vibaraka wao kutoka kwa watawala wa nchi ndogo za dhara katika nchi za Waislamu, tunasema kwamba Khilafah hii inakuja bila shaka, na huu ndio wakati wake, na huu ndio wakati wake kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na msaada wake, na wakati huo atamlipa kila mtu aliyetenda uhalifu dhidi ya umma huu.
Mwisho, tunasema kwa mfumo tawala nchini Sudan, na vyombo vyake vya usalama ambavyo vilifanya kitendo hiki kiovu, tunawaambia waachilie huru mara moja wabebaji wa ulinganiaji wa haki, na mcheni Mwenyezi Mungu na mjue kwamba Mwenyezi Mungu hatengenezi kazi ya waharibifu, basi msiwe chombo katika kupiga vita Uislamu na wabebaji wa ulinganiaji wake, ili mpate udhalili duniani, na adhabu kali Akhera.
﴿WALE WANAOPENDELEA MAISHA YA DUNIA KULIKO AKHERA NA WANAZUIYA NJIA YA MWENYEZI MUNGU NA WANATAFUTA IWE POTOFU, HAO WAMO KATIKA UPOTOFU MKUBWA﴾
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan