
2025-07-28
Al-Yamama Press: Hotuba ya Ulazima wa Kuwasaidia Watu wa Gaza katika Soko Kuu la Port Sudan
Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan, iliandaa hotuba ya kisiasa katika mji wa Port Sudan, siku ya Jumatatu, 03 Safar 1447 Hijria, sawa na 2025/07/28 Miladia, yenye kichwa: (Ulazima wa kuwasaidia watu wa Gaza). Msaidizi wa msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, Ustadhi Muhammad Jami Abu Ayman, alihutubia umati wa waliohudhuria katika uwanja wa Hoteli ya Al-Haramain huko Port Sudan, ambapo alianza hotuba yake kwa kuwakumbusha Waislamu kuhusu udugu wa Kiislamu, na ulazima wa kuwasaidia Waislamu popote walipo, na pia aliwakumbusha kuhusu safari ya usiku ya Mtume Muhammad (rehema na amani zimshukie), na kwamba yeye pia amekamatwa na Mayahudi ndugu wa nyani na nguruwe, na akaeleza msimamo wa watawala, na akawaeleza kuwa ni wasaidizi wa Mayahudi katika kutekeleza uhalifu huu dhidi ya Waislamu wa Gaza.
Kisha akawalingania waliohudhuria, na kuwahimiza kuishinikiza majeshi, na kuondoa vizuizi vinavyowafunga, ili watimize wajibu wao wa kuwasaidia ndugu zao huko Gaza, na katika nchi zote za Waislamu zilizokumbwa na majanga, akitoa ushahidi kwa kauli ya Mwenyezi Mungu: {NA WAKIKUOMBENI MSAADA KATIKA DINI, BASI NI JUU YENU KUWASAIDIA, ISIPOKUWA DHIDI YA WATU WALIOPO BAINA YENU NA WAO AGANO ۗ NA MWENYEZI MUNGU ANAYAONA VYEMA MNAYOYATENDA} [Al-Anfal : 72]. Na akaeleza kuwa kitendo hichi kimekwisha amuliwa na Uislamu kwa khalifa wa Waislamu, anawaongoza kwa Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na anapigana nyuma yake.. Mmoja wa waliohudhuria alimkatisha kwa kupaza sauti akidai khalifa kama Abu Bakr As-Siddiq.. Anayeyaendesha majeshi, na anajua kwamba Mwenyezi Mungu ni msaidizi wake .. Na alimkumbatia mzungumzaji huku akilia na kukuza mbele ya waliohudhuria na akamwambia Abu Ayman tunakupenda kwa sababu unasema ukweli .. Na anasema tunapenda na tunataka dini mpaka waliohudhuria wote wameathirika.
Na Abuaaiman alihimiza waliohudhuria kufanya kazi ya kuondoa viti hivi vya ufalme na kusimamisha Ukhalifa, na kwamba kuna ahadi kutoka kwa Mola Mtukufu ya kuwasaidia wale wanaomsaidia. Amesema Mwenyezi Mungu {MWENYEZI MUNGU AMEWA AHIDI WALIO AMINI MIONGONI MWENU NA WAKATENDA MEMA KWAMBA ATAWAFANYA MAKHALIFA KATIKA ARDHI KAMA ALIVYO WAFANYA MAKHALIFA WALE WA KABLA YAO ..} [An-Nur : 55] Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan


Vyanzo: Al-Yamama Press / Radar News/ Kushi News

