Organization Logo

أستراليا الممثل

أستراليا

29 Haldon St, Lakemba 2195 NSW AUSTRALIA *** PO Box 384 Punchbowl 2196 NSW AUSTRALIA

Tel: +61 438 000 465

media@hizb-australia.org

Australia: Taarifa ya rambirambi na pole kwa kifo cha Khalid Ahmed Ibrahim Tarad "Abu Muhammad"
Press Release

Australia: Taarifa ya rambirambi na pole kwa kifo cha Khalid Ahmed Ibrahim Tarad "Abu Muhammad"

September 23, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Taarifa ya rambirambi na pole kwa kifo cha Khalid Ahmed Ibrahim Tarad "Abu Muhammad"

﴿Miongoni mwa Waumini wapo watu waliosadiki yale waliyoahidi kwa Mwenyezi Mungu. Basi wengine wao wamekwisha timiza nadhiri zao,

na wengine wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi yao) hata kidogo.

Ofisi ya habari ya Hizb ut-Tahrir huko Australia inatangaza kifo cha mmoja wa wabebaji wa Da'wah, ambaye ni miongoni mwa watu ambao upendo wao kwa Qur'an, kwa waumini, na kwa Da'wah uligusa mioyo ya wengi katika jamii, Mwenyezi Mungu amrehemu kwa rehema pana: Ndugu Khalid Ahmed Ibrahim Tarad "Abu Muhammad", ambaye amehamia katika rehema ya Mwenyezi Mungu leo, Jumapili 22 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawa na 14 Septemba 2025 AD.

Tunatoa pole zetu za dhati kwa familia ya marehemu na kwa wabebaji wote wa Da'wah. Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu amfunike kwa rehema zake pana, amsamehe, na amuweke katika bustani zake pana pamoja na manabii, wasadikifu, mashahidi, na watu wema, na hao ni rafiki wema. Pia tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aipe thawabu familia yake na jamaa zake na awape subira na faraja.

﴿Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake tutarejea.

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Australia

Official Statement

أستراليا الممثل

أستراليا

أستراليا الممثل

Media Contact

أستراليا الممثل

Phone: +61 438 000 465

Email: media@hizb-australia.org

أستراليا الممثل

29 Haldon St, Lakemba 2195 NSW AUSTRALIA *** PO Box 384 Punchbowl 2196 NSW AUSTRALIA

Tel: +61 438 000 465 | media@hizb-australia.org

Reference: PR-0199432d-c4a8-7cd0-9600-9f83c6193eba