Diski ya "Anashid za Khilafah 1447H - 2025M"
Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafurahia kuwapa wafuatiliaji na wageni wa kurasa za Ofisi Kuu ya Habari diski mpya (DVD) katika lugha tatu yenye kichwa:
"Anashid za Khilafah 1447H - 2025M"
Ili itumike katika shughuli na harakati za kidini.
Imeandaliwa na Idara ya Machapisho na Hifadhi katika Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir.
Ili kupakua diski


