Organization Logo

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

Tel: 0096171724043

Fax: 009611307594

ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

http://www.hizb-ut-tahrir.info/

Enyi Waislamu! Msidharau amali zenu kwa kuangalia amali za watu! Bali nyinyi ni mashahidi juu ya watu!
Press Release

Enyi Waislamu! Msidharau amali zenu kwa kuangalia amali za watu! Bali nyinyi ni mashahidi juu ya watu!

June 16, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Enyi Waislamu! Msidharau amali zenu kwa kuangalia amali za watu!

Bali nyinyi ni mashahidi juu ya watu!

(Imetafsiriwa)

Meli ya misaada "Madelin" iliyokuwa inaelekea Gaza, na kile walichokifanya wanaharakati wake wasio Waislamu maarufu, kiliibua mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari vikuu na mitandao ya kijamii. Nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Uturuki, zilitoa "msaada wa ushauri" kwa raia wake waliokuwa ndani ya meli hiyo iliyotekwa na taasisi ya kiyahudi ya kigaidi inayokalia ardhi.

Kama tulivyoshuhudia mara nyingi hapo awali, vitendo hivi vinavyofanywa na mipango isiyo ya Kiislamu vinapata sifa kubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wenye mtazamo mfupi, hasa makundi yanayopinga Uislamu, hutumia matendo haya kama fursa ya kudharau mapambano ya mamilioni ya Waislamu, na kupuuza imani na hisia zao! Wanapuuza majibu, vitendo, na juhudi za kweli zinazotolewa na Waislamu dhidi ya uvamizi na uonevu huko Palestina, Turkestan ya Mashariki, Syria, Misri, na maeneo mengine mengi, kwa miongo kadhaa. Wanadharau hisia na dhabihu za Waislamu kwa mali zao na hata roho zao kwa ajili ya Allah. Kana kwamba haitoshi, wao huashiria mipango ya Waislamu mara kwa mara kama matusi na uhalifu, na mbaya zaidi, kama haramu!

Enyi Waislamu! Msidharau mipango kama vile meli ya Madelin na "Msafara wa Ulimwengu kwenda Gaza" wa sasa, au sauti za huruma zinazoendeshwa na dhamiri, zilizozinduliwa na wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa nchi wasio Waislamu! Hata juhudi zao za kweli bila shaka zimejitokeza kama hatima kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Kwa kweli, hii si kitu ila ushahidi kwamba ushindi wa Mwenyezi Mungu uko karibu kwenye njia ya mabadiliko makubwa na ya msingi. Hata hivyo, wataendelea tu kwa kadiri dhamiri zao, ujasiri wao au wao wenyewe wanavyoweza kuwavumilia.

Enyi Waislamu! Chochote mnachofanya kwa ajili ya Gaza, Palestina, Sudan, Turkestan ya Mashariki na kote ulimwenguni, kila tendo lenu, kila neno mnalosema dhidi ya dhuluma, kila msimamo wenu, kila maandamano yenu, kila upinzani wenu, kila dua zenu... mko na deni la yote hayo kwa imani yenu kwa Allah, Mtume wake ﷺ na Qur'an. Na jueni kwamba kila tendo jema bila ya imani halina thamani mbele ya Mwenyezi Mungu wala haliwezi kuzaa matunda duniani.

Enyi Waislamu! Majibu yenu kwa dhuluma sio matokeo ya hisia zenu za kutokuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu Mwenyezi Mungu ameizingatia kuwa ni dhuluma. Na hii ndiyo sifa inayowafanya kuwa viongozi na mashahidi juu ya wanadamu! Kwa hakika, nyinyi ndio mliofichua dhuluma ya Gaza kwa ulimwengu, na mkaamsha akili na mioyo ya watu! Mliamsha mioyo na akili zao, nao wakaanza kuelekea barabarani. Sasa ni wakati wa kuwaelekeza kutoka mafanikio madogo hadi lengo kubwa... Ikiwa mtawaongoza hawa wenye ufahamu kwenye suluhisho sahihi kwa Gaza na Palestina, basi safari yao itafikia suluhisho lake la mwisho. Lakini ikiwa nanyi pia mtafuata mafanikio madogo, basi mtapoteza mapambano yenu yote kwa ajili ya ukombozi na upinzani.

Kwa hivyo, sasa kuliko wakati mwingine wowote, shikamaneni na kamba ya Mwenyezi Mungu, na fanyeni kazi ya kuongoza Gaza, Palestina, na nchi zote za Waislamu, na wanadamu wote, kwenye suluhisho la kweli, kubwa na la kudumu! Chukueni kisu kinachohitajika kukata ateri ya uhai ya taasisi ya kiyahudi na mizizi inayoilisha kwa kufyonza damu ya umma. Katakeni watawala wasaliti wanaoshirikiana ambao wanalisha mizizi ya Uzayuni. Pindi mizizi hiyo inapokatwa, majeshi ya Waislamu hayatohitaji ila masaa machache tu kuondoa taasisi ya kiyahudi kutoka ardhini iliyobarikiwa. Na pindi inapoondolewa, matawi yake yote yaliyoenea kote ulimwenguni yatakaushwa pia. Hapo, uhai utarejea katika sayari nzima ya dunia; kwa wanadamu wote, viumbe hai vyote, miti, maji, hewa, na hata miamba.

Harakisheni kutekeleza wajibu wenu wa kweli! Fanyeni kazi kwa misingi ya manhaj wa Utume ili kusimamisha mfumo na ahadi ya Mwenyezi Mungu, na bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: Khilafah ya pili Rashidah kwa misingi ya Utume. Ziombeeni hima jeshi kwa ajili ya nusra wanayoihitaji sana! Harakisheni kutekeleza wajibu mkubwa, wa kuwa mashahidi na viongozi wa wanadamu; umma wa wasati. Na Hizb ut Tahrir hapa kuongoza kwenye ushindi huu, na inatoa kwenu mipango yote na manhaj, na inawaalika kujiunga na njia ya ushindi. Msiyasikilize manong'ono, bali sikilizeni haki! Msishughulike na vitendo vidogo, bali harakisheni kwenye lengo kubwa!

﴿وَأُخْرَى تُحِبُّونَهَا نَصْرٌ مِّنَ اللهِ وَفَتْحٌ قَرِيبٌ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ

Sehemu ya Wanawake

Katika Afisi ya Habari Kuu

Ya Hizb ut Tahrir

Official Statement

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Media Contact

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Phone: 0096171724043

Fax: 009611307594

Email: ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Tel: 0096171724043 | ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

Fax: 009611307594

http://www.hizb-ut-tahrir.info/

Reference: PR-01976dbb-8f90-7d69-bf35-27557938638a