Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa
Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan inafuraha kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kipindi kipya cha Saluni ya Kisiasa, ambacho kitamkaribisha Bwana Muhammad Jami' (Abu Ayman), msaidizi wa msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, yenye kichwa:
(Mpango wa Mipaka ya Damu na Uhalifu wa Kutenganisha Darfur)
Saluni itaendeshwa na Bwana Yaqub Ibrahim, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir.
Muda: Jumamosi, Mwanzo wa Safar al-Khair 1447 Hijria, inayolingana na 2025/07/26 Miladia, Saa saba mchana Insha Allah.
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan huko Port Sudan - Mtaa wa Al-Azma.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan