Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa
Press Release

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa

September 24, 2025
Location

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan inafurahia kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kipindi kipya cha saluni ya kisiasa, ambacho kitamshirikisha mwalikwa Ustadh Yaqub Ibrahim, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, kwa mada:

Ulaya na Athari Yake kwa Matukio Sudan

Saluni itaendeshwa na Ustadh Muhammad Abdul Fattah, wakili.

Muda: Jumamosi, 05 Rabi' al-Akhir 1447 Hijria, inayoambatana na 2025/9/27 saa moja kamili baada ya adhuhuri InshaAllah.

Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan huko Port Sudan - mtaa wa Al-Azama.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Sudan

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-01997bb8-ed48-771a-a97a-df16d4566c39