Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa
Press Release

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa

October 22, 2025
Location

Mwaliko wa Kuhudhuria Kipindi cha Saluni ya Kisiasa

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan inafurahia kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kipindi kipya cha Saluni ya Kisiasa, ambapo atakuwa mgeni mwalikwa Ustadhi Muhammad Jami' (Abu Ayman), msaidizi wa msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, yenye kichwa:

Msimamo wa Serikali kuhusu Kukomesha Kadhia ya Palestina na Hukumu ya Sharia Kuhusu Hilo

Saluni itaendeshwa na Ustadhi Ibrahim Musharraf, mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan.

Wakati: Jumamosi, 03 Jumada al-Ula 1447 Hijria, inayoambatana na 2025/10/25 Miladia saa moja baada ya adhuhuri, InshaAllah.

Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan huko Port Sudan - mtaa wa Al-Azama - mashariki ya Uwanja 

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Sudan

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-019a0468-afe8-7271-af88-8f43f3645b6f