Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
Press Release

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari

July 16, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari

Kwa ndugu zetu waheshimiwa; wanahabari na vyombo vya habari, kwa majina yao mbalimbali; vilivyoandikwa, vinavyosikika, na vinavyoonekana.

Tunafurahi katika Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Sudan, kutoa mwaliko kwenu kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari wenye kichwa:

Hakuna serikali itakayotoa matumaini isipokuwa katika kivuli cha Uislamu na dola yake ya Khilafah

Atazungumza katika mkutano huo, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan, Ustadhi Ibrahim Othman (Abu Khalil).

Wakati: Jumamosi 24 Muharram al-Haram 1447 Hijria, inayoambatana na 2025/7/19 Miladia, saa 1:00 mchana InshaAllah.

Mahali: Ofisi ya Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Sudan huko Port Sudan, kitongoji cha Al-Azama - mashariki ya uwanja wa michezo.

Tunasherehekea mahudhurio yenu na ushiriki wenu

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir

Katika Wilaya ya Sudan

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-01981316-3fd0-73aa-94a6-3947163846e1