Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Wanahabari
Tunafuraha katika Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria mkutano na wanahabari, ambapo msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan atazungumza, chini ya kichwa:
Wito kwa watu wa Sudan... Oekoeni Darfur ili isijiunge na Kusini
Muda: Jumamosi 22 Safar 1447 Hijria, sawa na 2025/8/16 Miladia, saa moja kamili baada ya adhuhuri.
Mahali: Ofisi ya Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan katika Port Sudan - mtaa wa Al-Azama - mashariki ya uwanja.
Kuhudhuria kwenu kutaboresha mjadala
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan