Organization Logo

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707

spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Mwaliko wa Kuhudhuria Kongamano la Wanahabari
Press Release

Mwaliko wa Kuhudhuria Kongamano la Wanahabari

September 16, 2025
Location

Mwaliko wa Kuhudhuria Kongamano la Wanahabari

Tunafuraha katika Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria kongamano la wanahabari ambalo msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan atazungumza, lenye kichwa:

(Taarifa ya Nne na Utawala Uliopotea)

Muda: Jumamosi 28 Rabi'ul Awwal 1447 Hijria, inayolingana na 2025/9/20 Miladia saa moja kamili baada ya adhuhuri.

Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan katika Port Sudan - mtaa wa Al-Adhama - mashariki ya uwanja.

Kuhudhuria kwenu kutaboresha mjadala

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Sudan

Official Statement

السودان - مكتب - ناطق

ولاية السودان

السودان - مكتب - ناطق

Media Contact

السودان - مكتب - ناطق

Phone: 0912240143- 0912377707

Email: spokman_sd@dbzmail.com

السودان - مكتب - ناطق

الخرطوم شرق- عمارة الوقف الطابق الأرضي -شارع 21 اكتوبر- غرب شارع المك نمر

Tel: 0912240143- 0912377707 | spokman_sd@dbzmail.com

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-01994f61-97e0-7757-905e-fba25c18869d