Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
Tunafurahi katika Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan kuwaalika ndugu waandishi wa habari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari ambapo msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan atazungumza kwa kichwa:
Kuchanganyikiwa kwa Serikali katika Jinsi ya Kudhibiti Miamala ya Dhahabu
Muda: Jumamosi 26 Rabi' al-Akhir 1447 Hijria, sambamba na 2025/10/18 saa moja baada ya adhuhuri
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan huko Port Sudan, mtaa wa Al-Azama mashariki ya uwanja wa mpira
Kuwepo kwenu kutaboresha mjadala
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan