Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
Tunafurahi katika Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan kuwaalika ndugu waandishi wa habari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari ambapo msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan atazungumza kuhusu:
Amani ya Nchi Nne na Hatari ya Kujadiliana kwa Msingi wa Ustaarabu wa Magharibi
Wakati: Jumamosi 24 Jumada al-Ula 1447 Hijria, sawia na 2025/11/15 Miladia, saa moja baada ya adhuhuri
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan huko Port Sudan - Mtaa wa Al-Azama - Mashariki ya Uwanja
Kuhudhuria kwenu kutaboresha mjadala
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan