Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Tunafurahi katika Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan, kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wanaopenda mambo ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kongamano la kila mwezi la masuala ya umma, ambalo mwezi huu litakuwa na kichwa:
(Hatari ya Mtazamo wa Mamlaka kama Keki ya Kugawanywa)
Wazungumzaji katika Kongamano:
1- Ustadh Mohamed Jami (Abu Ayman) - Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
2- Ustadh Al-Nadhir Mukhtar - Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir
3- Afisa wa Kongamano: Ustadh Ibrahim Musharraf - Mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan
Tarehe: Jumamosi 10 Muharram 1447 Hijria, inayolingana na 2025/07/05 Miladia
Muda: Saa saba mchana
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan, Port Sudan - Mtaa wa Al-Azma - Mashariki ya Uwanja wa Port Sudan
Tunafurahishwa na mahudhurio yenu ambayo yanaashiria umuhimu wa masuala ya umma wenu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan