Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Tunafurahi katika Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, kuwaalika ndugu waandishi wa habari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kongamano la kila mwezi la masuala ya umma, ambalo mwezi huu litakuwa na kichwa:
Serikali Sambamba ya Uanzishwaji Ni Utekelezaji wa Mpango wa Marekani wa Kuitenga Darfur
Watazungumza katika kongamano:
1- Bwana Faqir Hajj Muhammad Ahmad Wakili - Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir
2- Bwana Muhammad Jami (Abu Ayman) - Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
3- Afisa wa Kongamano: Bwana Ibrahim Mushrif - Mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
Tarehe: Jumamosi 08 Safar 1447 Hijria, sawia na 2025/8/2 Miladia
Muda: Saa moja baada ya adhuhuri
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, Port Sudan - Mtaa wa Al-Azama - Mashariki ya Uwanja wa Port Sudan
Tunafurahishwa na mahudhurio yenu ambayo yanaashiria umuhimu wa masuala ya umma wenu
Ibrahim Uthman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan