Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Tunafurahi katika Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, kuwaalika ndugu waandishi wa habari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kongamano la kila mwezi la masuala ya umma, ambalo mwezi huu litakuwa na kichwa:
Mpango wa Marekani wa kuikata Darfur... na jinsi ya kuufelisha
Watazungumza katika kongamano:
1- Ustadh Nasser Ridha - Mkuu wa Kamati ya Mawasiliano Kuu ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
2- Ustadh Muhammad Jami' (Abu Ayman) - Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
3- Afisa wa Kongamano: Ustadh Ibrahim Mushrif - Mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
Tarehe: 14 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria sawa na 2025/09/06 Miladia
Muda: Saa moja baada ya adhuhuri
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, Port Sudan - mtaa wa Al-Adhma - mashariki ya uwanja wa Port Sudan
Tunafurahishwa na mahudhurio yenu ambayo yanaashiria umuhimu wa masuala ya umma wenu
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan