Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Tunafurahia katika Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kongamano la masuala ya umma la kila mwezi, ambalo litakuwa na kichwa cha mada mwezi huu:
Nani Anamiliki Uamuzi wa Kusitisha Vita Sudan
Atazungumza katika kongamano:
1- Ustadhi Nasser Reda, Mkuu wa Kamati ya Mawasiliano Kuu ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
2- Ustadhi Muhammad Jami (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
Afisa wa Kongamano: Ustadhi Ibrahim Musharraf, Mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan
Tarehe: 12 Rabi' al-Akhar 1447 Hijria sawa na 2025/10/4 Miladia
Wakati: Saa moja baada ya adhuhuri
Mahali: Ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, Port Sudan - Mtaa wa Al-Adhama - Mashariki ya Uwanja wa Port Sudan
Tunafurahia kuhudhuria kwenu ambayo inamaanisha kujali masuala ya umma wenu
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan