Organization Logo

بنغلادش مكتب

ولاية بنغلادش

Tel: 8801798367640

Fax: Skype: htmedia.bd

contact@ht-bangladesh.info

Suluhisho la Mataifa Mawili Ni Mchezo wa Karne Hii ﴿ALLAH ANAWADHIHAKI NA KUWAONGEZEA KATIKA UASI WAO, WANATAABIKA﴾
Press Release

Suluhisho la Mataifa Mawili Ni Mchezo wa Karne Hii ﴿ALLAH ANAWADHIHAKI NA KUWAONGEZEA KATIKA UASI WAO, WANATAABIKA﴾

October 05, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Suluhisho la Mataifa Mawili Ni Mchezo wa Karne Hii

﴿ALLAH ANAWADHIHAKI NA KUWAONGEZEA KATIKA UASI WAO, WANATAABIKA

Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Bangladesh inalaani vikali maneno ya Profesa Yunus katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa: "Ni kwa msingi wa mipaka ya kabla ya 1967 tu, huku Israeli na Palestina zikiishi pamoja kwa amani, ndipo haki inaweza kupatikana." Huku Wapalestina wakiangamizwa mbele ya macho yetu na Wayahudi wananyang'anya asilimia 78 ya Palestina, vipi haki inaweza kupatikana kwa kuruhusu taasisi yao kuishi kando ya dola la Palestina?! Kwa nini tunaita baadhi ya vijigazeti ndani ya taasisi ya Kiyahudi inayokalia kwa mabavu dola la Palestina, wakati halina hata jeshi lake lenyewe?!

Mchezo huu unatukumbusha tamthilia ya tangazo la Yasser Arafat la kuanzishwa kwa dola la Palestina mnamo Novemba 15, 1988 kutoka Algeria. Hali ilikuwa ni dola kwenye karatasi, lakini matunda ya makubaliano ya Oslo yalikuwa ni mamlaka duni chini ya bunduki za Wayahudi. Licha ya hayo, watawala wa Kiislamu wanaoongozwa na watu wasiofaa, na vile vile Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, waliukaribisha tangazo hili. Cha kushangaza ni kwamba lilikaribishwa na mashirika ya Kipalestina, wakilichukulia kama matunda ya msimamo wao, kana kwamba Palestina ilikuwa imekombolewa na taasisi ya Kiyahudi imeondolewa! ﴿MWENYEZI MUNGU AWAPIGE, WANAGEUZWAJE﴾.

Suluhisho la mataifa mawili, ambalo limeundwa na Amerika, linalenga kuhalalisha uhusiano kati ya taasisi ya Kiyahudi inayokalia kwa mabavu na nchi za Kiislamu. Bila uungaji mkono wa watawala wasaliti wa Waislamu, taasisi hii haitadumu hata siku moja, hata kwa mabilioni ya dola za misaada ya kijeshi inayopokea kutoka Magharibi, ﴿HAWATAKUDHURU ISIPOKUWA UDHALILIFU, NA WAKIKUPIGENI VITA, WATAGEUZA MIGUU YAO, KISHA HAWATAONGEZWA﴾. Hasa Amerika ilianza kutumia ushawishi wake kwa suluhisho la mataifa mawili katika miaka ya tisini ya karne iliyopita, na ilitumia vibaya kutumikia malengo yake ya kisiasa na kijeshi kwa kuimarisha wakala wake, taasisi ya Kiyahudi. Inafanya kazi ya kuweka umma wa Kiislamu umegawanyika kwa kuweka taasisi ya Kiyahudi ikiwa na nguvu za kijeshi na kuchochea mivutano na mazingira yake. Wakati huo huo, inahakikisha kudumisha usawa unaozuia taasisi ya Kiyahudi kuchochea mzozo ambao unaweza kuvuruga mfumo mzima wa kimataifa. Mfumo huu wa udhibiti na mizani ni pazia la utawala wake katika Mashariki ya Kati. Siyo mpatanishi wa haki anayesawazisha nguvu; badala yake, ni msimamizi wa mfumo unaotawaliwa na taasisi ya Kiyahudi juu ya Waarabu, na inaudhibiti moja kwa moja, na wakati mwingine kwa kuishinikiza moja kwa moja kupitia Iran, na kila mtu anabaki kumtegemea.

Enyi Waislamu: Uingereza, Kanada, Australia na Ureno zilitambua kile kinachoitwa "Dola la Palestina," na kufuatiwa na nchi kadhaa katika Mkutano wa Kimataifa wa ngazi ya juu wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika kuanzia Septemba 22 hadi 30, 2025, ulioongozwa na Ufaransa na Saudi Arabia. Ni wazi kwamba Uingereza, kichwa cha zamani cha ukafiri, na nchi zingine za ukafiri, zilitambua kile kinachoitwa dola la Palestina ili kuficha nyuso zao mbaya za udanganyifu mbele ya watu wote, haswa mbele ya watu wao. Ripoti kadhaa za habari zinathibitisha uendelezaji wa msaada wa kijeshi kwa taasisi ya Kiyahudi; kwa mfano, Shirika la Habari la Anatolia liliripoti kutoka kwa vyombo vya habari vya nchi hiyo kwamba "Uingereza ilituma zaidi ya risasi elfu mia moja kwenda Israeli katika mwezi mmoja (Agosti iliyopita) katikati ya mauaji huko Gaza. Usafirishaji mnamo Agosti ulijumuisha vifaru, bunduki za masafa marefu, na bunduki, pamoja na aina tofauti za vilipuzi."

Kupitia ahadi ya udanganyifu ya Balfour mnamo 1917, Uingereza ya kikoloni yenye ujanja hapo awali ilitoa sehemu za Ukhalifa wa Ottoman (Palestina) kwa Wayahudi. Baada ya Vita vya Pili vya Ulimwengu, Amerika ilichukua eneo la tukio huko Mashariki ya Kati na ikawa nguvu kuu wakati Uingereza ilifilisika. Tangu wakati huo, Amerika imefanya kazi na Magharibi juu ya mitego hii ya udanganyifu, ambayo inatoa taasisi ya Kiyahudi haki za kudumu za kuwatesa watu na kuwanyang'anya. Kama sehemu ya juhudi hizi, sasa wanapanga kuunda shirika la kimataifa linaloitwa "Mamlaka ya Mpito ya Kimataifa kwa Gaza," ambayo itakuwa na mamlaka ya kuwa "mamlaka ya juu ya kisiasa na kisheria" kwa Gaza kwa muda wa hadi miaka mitano, na itaongozwa na Tony Blair, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ambaye alishiriki katika uvamizi wa Iraq mnamo 2003.

Enyi Waislamu: Mauaji ya kimbari huko Gaza si msiba wa mbali; bali ni mstari wa mbele unaowaka wa mzozo wa umma wetu katika ardhi hiyo iliyobarikiwa. Ndugu zetu huko Palestina hawapigani kwa ajili ya mamlaka au mali ya kupita; bali wanasimama kama walinzi, wakitoa roho zao kwa kila inchi ya ardhi ya Waislamu, wakiulinda utakatifu wa umma wetu dhidi ya shambulio la makafiri wahalifu. Hitimisho ni kwamba Waislamu lazima wakumbuke kwamba suluhisho la mataifa mawili linamaanisha kuidhinisha Wayahudi kukalia kwa mabavu ardhi iliyobarikiwa, na hili ni jambo kubwa katika dini ya Mwenyezi Mungu, kwani lilisimuliwa na Masahaba na wapiganaji kwa damu yao, na pia ni haram ya tatu, ambayo Waislamu huenda kwayo kutoka kote ulimwenguni. Kutoka huko kulikuwa na safari ya Israa na Mi'raj. Kwa kuwa ni ardhi ya Kiislamu, haifai kwa Waislamu kuitoa au hata inchi moja yake.

Msiba mkubwa zaidi ambao umepatwa na umma wetu ni watawala wake, ambao wanaendelea kuwafunga wana wetu mashujaa katika majeshi kwenye kambi. Badala ya kuwatuma kupigana chini ya bendera ya Uislamu ili kuwaokoa Waislamu kutoka kwa mauaji ya kimbari, kulinda Qibla yao ya kwanza, na kukomboa ardhi yetu iliyobarikiwa, wanawatuma katika misheni chini ya Umoja wa Mataifa chini ya uongozi wa makafiri wakoloni. Tangu kuangushwa kwa Ukhalifa zaidi ya miaka mia moja iliyopita, Waislamu wamekosa Khalifa wao, ambaye wanajumuika chini ya bendera yake na kumcha kama alivyosema ﷺ: "IMAMU NI KINGA, ANAPIGANIWA NA KUHIFADHIWA NAYE" Imesimuliwa na Bukhari na Muslim. Kwa hiyo, tunatoa wito kwa Waislamu kila mahali na maafisa waaminifu kuungana na kurejesha Ukhalifa chini ya uongozi wa Hizb ut-Tahrir. Mwenyezi Mungu amesema: ﴿WAPIGENI, MWENYEZI MUNGU ATAWAADHIBU KWA MIKONO YENU, ATAWAAIBISHA, ATAWASAIDIA DHIDI YAO, NA ATAISHAFA NYOYO ZA WATU WAAMINIO﴾.

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Katika Wilaya ya Bangladesh

Official Statement

بنغلادش مكتب

ولاية بنغلادش

بنغلادش مكتب

Media Contact

بنغلادش مكتب

Phone: 8801798367640

Fax: Skype: htmedia.bd

Email: contact@ht-bangladesh.info

بنغلادش مكتب

Tel: 8801798367640 | contact@ht-bangladesh.info

Fax: Skype: htmedia.bd

Reference: PR-0199ae86-b1d8-7f3d-aefa-1e8387875a96