October 29, 2025 966 views

Indonesia: Misaada Kubwa ya Kuukumbusha Ulimwengu "Palestina Bado Iko Chini ya Ukaliaji"

Indonesia: Misaada Kubwa ya Kuukumbusha Ulimwengu "Palestina Bado Iko Chini ya Ukaliaji"

Maelfu ya Waislamu katika miji mbalimbali ya Indonesia waliandaa maandamano ya kuunga mkono Palestina mnamo tarehe 18 na 19 Oktoba 2025, chini ya kauli mbiu "Palestina bado iko chini ya ukaliaji". Huko Bandung, zaidi ya waandamanaji 15,000 walikusanyika mbele ya jengo la Gedung Sate, wakiwa wamebeba bendera za Umoja na mabango yenye itikadi kama vile "Tuma majeshi ya Kiislamu, ikomboe Palestina!" na "Suluhisho la mwisho kwa Palestina ni kwa njia ya jihad na ukhalifa" na "Kwa ukhalifa na jihad, Palestina itakombolewa".

Wasemaji walisisitiza kuwa usitishaji mapigano wa sasa ni dhaifu sana, kwani wavamizi wa Kizayuni wamekiuka makubaliano mara kwa mara. Waliwahimiza Waislamu kujifunza kutokana na historia, wakionyesha kuwa makubaliano ya amani na Wazayuni hayaleti faida yoyote, na walisisitiza tena kwamba njia ya kweli ya ukombozi wa Palestina iko katika jihad, kama ilivyoamriwa na Kurani Tukufu.

Maandamano kama hayo yalifanyika Semarang na Purwokerto, yakishirikisha maelfu ya watu kutoka maeneo ya jirani. Waandamanaji walibeba mabango yakikataa suluhu la mataifa mawili, wakiliona kama suluhu bandia ambayo inaendeleza ukaliaji. Wanazuoni wa kidini na viongozi wa jamii walilaani ukimya wa watawala wa Kiislamu, wakieleza kama usaliti kwa Uislamu na mateso ya Waislamu katika ardhi iliyobarikiwa (Palestina). Walisisitiza kuwa bila umoja chini ya uongozi mmoja wa Kiislamu - Ukhalifa Uongofu kwa njia ya Utume - ukaliaji wa ardhi iliyobarikiwa (Palestina) utaendelea.

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir Indonesia

Jumatatu, 05 Jumada al-Ula 1447 Hijria, sawia na 27 Oktoba 2025 Miladia

Indo

- Sehemu ya maandamano makubwa katika miji ya Indonesia -

Indo

Picha kutoka kwa maandamano makubwa ya kuukumbusha ulimwengu

"Palestina Bado Iko Chini ya Ukaliaji"

indo

 {gallery}2025_10_19_INDO_GAZA_ACTV_PICs{/gallery}

Indo

- Lebo za reli za matukio ya kuinusuru Gaza -

#TufaniYaAlAqsa

#MajestyKuelekeaAlAqsa

#AlAqsaYaiombaMsaadaMajesty

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Indo

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea

Tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir / Indonesia


Indo

More from null