
2025-08-01
Kushi News: Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan Atoa Hotuba Mbele ya Msikiti wa Kale katika Mji wa Port Sudan Siku ya Ijumaa
Enyi mnaosali, enyi Waislamu, enyi wafuasi wa Mtume ﷺ, enyi wajukuu wa viongozi washindi, enyi wana wa umma bora uliotolewa kwa watu:
Je, hili linawezekana kwenu?! Mnakulaje, mnakunywa, na kulala, wakati ndugu zenu huko Gaza wanauawa, wanahama makazi yao, na wana njaa mikononi mwa Wayahudi wavamizi wa msikiti wa Mtume ﷺ?! Hakika dhambi iko juu yetu sote ikiwa hatutawasaidia ndugu zetu huko Gaza, na hatutawasaidia isipokuwa majeshi ya umma yatahamasika, kwani wao ni watoto wenu, na ndugu zenu, na hakuna atakayewaangamiza Wayahudi isipokuwa dola ya Waislamu; Khilafah, na hii inamaanisha kuwa mfanye kazi na wafanyakazi, na muinusuru Hizb ut-Tahrir, ili isimamishe Khilafah, na kuwaua Wayahudi, kuthibitisha hadithi ya Mtume ﷺ, iliyotolewa na Imam Muslim katika Sahih yake: "MTAWAPIGA VITA WAYAHUDI NA MTAWAUA."
Enyi Waislamu:
Hakika wajibu wa kisheria ni kuwasaidia ndugu zenu Waislamu huko Gaza, Mtume ﷺ anasema: "DAMU ZA WAISLAMU ZINA SAWA, NA DHAHMA YAO HUENDELEZWA NA WAO WALIO CHINI, NA WAO NI MKONO JUU YA MWINGINE ASIYEKUWA WAO."
Enyi majeshi katika nchi za Waislamu, na enyi wenye nguvu na ulinzi, haswa wale walio karibu na Palestina:
Je, kuna udhuru wowote uliobaki kwa mwenye kutoa udhuru, na je, kuna hoja yoyote iliyobaki kwa mwenye kujitetea? Mnawezaje kuona na kusikia uchokozi wa Wayahudi na mauaji yao, mzingiro wao, na kuwanyima watu wa Gaza chakula hadi kufa, na mko katika nafasi zenu, bila harakati, badala ya kuelekea katika ardhi ya mapigano, na kujibu uchokozi wa Wayahudi, na kuondoa taasisi yao iliyopotoka?! Kwani hakuna udhuru kwenu, na mna uwezo wa kubomoa viti vya enzi vinavyowazuia kusonga mbele kuelekea kuwasaidia ndugu zenu, kwani Mungu hatakubali kutoka kwenu chochote isipokuwa kuwasaidia ndugu zenu na mna uwezo, narudia: mna uwezo, kwani ikiwa hamfanyi hivyo, basi nyinyi ni wenye dhambi, na damu za ndugu zenu ziko shingoni mwenu.
Haya bomoeni viti vya enzi vya wazembe, na mpe ushindi Hizb ut-Tahrir ili isimamishe Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya utume, ili iikomboe Palestina, na nchi zote za Waislamu zinazokaliwa, na kuikomboa dunia kutokana na uovu wa Wayahudi, na wasaidizi wao; kutoka Amerika na wahalifu wengine.
﴿Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuiteni kwenye lile lenye kukuhuisheni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu huingilia baina ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika mtakusanywa kwake.﴾
Ijumaa 07 Safar 1447 Hijria
01/08/2025 Miladia
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
Katika Wilaya ya Sudan
Chanzo: Kushi News

