
21/6/2025
Kushi News: Mamlaka za Usalama katika Mji wa Al Qadarif Zawakamata Vijana wa Hizb ut-Tahrir Kuinusuru Taifa la Kiyahudi!
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Port Sudan Ufuatiliaji wa Kushi News
Kufuatia hatua ya vijana wa Hizb ut-Tahrir katika mji wa Al Qadarif kutoa hotuba ya hadhara katika soko la Al Qadarif, karibu na hospitali ya meno, jana Alhamisi tarehe 23 Dhul-Hijjah 1446 Hijria, sawia na 19/6/2025 Miladia, ambapo Ustadh Awad Muhajir, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir, alizungumza kuhusu uhalisia wa vita na taifa la Kiyahudi, na furaha ya Waislamu kwa kulishambulia taifa hili, na kiu ya watu ya ushindi dhidi ya taifa hili linalokalia ardhi takatifu, msafara wa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, akisisitiza ulazima wa kusimamisha Khilafah Rashidah kwa njia ya Utume, ambayo itaikomboa Palestina, na nchi zingine za Waislamu zinazokaliwa. Ambapo waliohudhuria walishirikiana vyema na hotuba hiyo, na kulikuwa na michango bora kutoka kwa waliohudhuria...
Mara tu hotuba ilipokamilika, na kabla ya umati kutawanyika, magari matatu ya vyombo vya usalama yalifika, na kuwakamata vijana watatu wa Hizb ut-Tahrir, ambao ni ndugu: Al-Mahi Abidin, Maisara Yahya, na Muhammad Yahya, pamoja na mtu wa nne kutoka kwa waliohudhuria, na waliwapiga, na kuwafunga macho. Kisha waliwapeleka kusikojulikana, na kuchukua nao kifaa cha sauti kilichotumiwa katika hotuba, huku waliohudhuria wakishangazwa na kitendo hicho cha ajabu, na waliokamatwa hawajaachiliwa hadi kuandikwa kwa taarifa hii!!
Kutokana na kitendo hiki cha kinyama, sisi katika Hizb ut-Tahrir/Wilaya ya Sudan tunasisitiza yafuatayo:
Kwanza: Tunaibebesha serikali jukumu la usalama wa ndugu waliokamatwa, na tunawaonya, na vibaraka wao, dhidi ya matokeo ya vitendo kama hivyo ambavyo havifanani na Uislamu na Waislamu, na vinaelekea katika msimamo wa kusimama na Wayahudi ndugu wa nyani na nguruwe na wale wanaowaunga mkono kutoka kwa makafiri wakoloni, na kutoka kwa watawala wa nchi za dhara katika nchi za Waislamu, ambao wanadhani kila ukelele ni juu yao, Mwenyezi Mungu awalaani vipi wanapotoshwa!
Pili: Kitendo hiki cha ajabu na cha kutiliwa shaka, kutoka kwa wale ambao walipaswa kuwasaidia ndugu zao huko Palestina, kinathibitisha kwamba tawala hizi, pamoja na mfumo wa utawala nchini Sudan, ni maadui wa umma, na kazi yao ni kulinda taifa la Kiyahudi lililoharibika, na kutekeleza njama za makafiri wakoloni katika nchi yetu. Na vita vya kijinga vinavyoendelea nchini Sudan ni mojawapo ya matokeo ya kufuata utekelezaji wa mipango ya Marekani; mlinzi wa taifa la Kiyahudi, na adui wa Uislamu na Waislamu.
Tatu: Khilafah ambayo inawatisha Wayahudi, na watawala wa Magharibi makafiri wakoloni, na pamoja nao vibaraka wao kutoka kwa watawala wa dola ndogo za dhara katika nchi za Waislamu, tunasema kwamba Khilafah hii inakuja bila shaka, na huu ni wakati wake, na huu ni wakati wake kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu na msaada wake, na wakati huo itawahukumu wale wote waliofanya uhalifu dhidi ya umma huu.
Hatimaye, tunasema kwa mfumo unaotawala nchini Sudan, na vyombo vyake vya usalama vilivyofanya kitendo hiki kiovu, tunawaambia waachilie mara moja wabebaji wa mwaliko wa haki, mcheni Mwenyezi Mungu na mjue kwamba Mwenyezi Mungu hatengenezi kazi ya waharibifu, basi msiwe chombo katika kupigana na Uislamu na wabebaji wa mwaliko wake, ili mpate udhalili katika dunia, na adhabu kali katika Akhera.
﴿WALE AMBAO WANAPENDELEA MAISHA YA DUNIA KULIKO AKHERA NA WANAZUIA NJIA YA MWENYEZI MUNGU NA WANATAFUTA IWE POTOFU HAO WAMO KATIKA UPOTOFU MKUBWA﴾
Ijumaa 24 Dhul-Hijjah 1446 Hijria
2025/06/20 Miladia
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir
katika Wilaya ya Sudan
Chanzo: Kushi News

