Organization Logo

المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

Tel: 0096171724043

Fax: 009611307594

media@hizb-ut-tahrir.info

www.hizb-ut-tahrir.info

Hakuna Ahadi Wala Amani kwa Mayahudi, na Wapatanishi Si Waaminifu
Press Release

Hakuna Ahadi Wala Amani kwa Mayahudi, na Wapatanishi Si Waaminifu

October 24, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Hakuna Ahadi Wala Amani kwa Mayahudi, na Wapatanishi Si Waaminifu

Shirika la Kiyahudi limefanya ukiukaji mwingi wa makubaliano ya kusitisha vita dhidi ya Gaza, ukiukaji zaidi ya themanini, ambao ulisababisha kupanda kwa mashahidi wengi, majeruhi mengi, pamoja na kubomolewa kwa nyumba na uharibifu wa mali, kiasi kwamba waziri mkuu wa shirika la Kiyahudi alijigamba kwamba alitupa tani 153 za mabomu katika Ukanda wa Gaza katika siku moja.

Ama wapatanishi, mkuu wao Trump anawakilisha dola kubwa zaidi ya kikoloni, adui wa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waislamu, anajivunia kwamba aliwapa Mayahudi silaha kali zaidi, bali haachi kutoa vitisho vya kuharibu Hamas ikiwa haitatekeleza makubaliano, na anapuuza kwamba mwandani wake Netanyahu ndiye anayevunja makubaliano na kutengua ahadi kila wakati kwa kisingizio chochote dhaifu kama shirika lake bovu.

Na kuhusu wapatanishi wengine, usiulize; ndio wale waliokaa kimya kwa miaka miwili kamili wakati wa vita vya Mayahudi dhidi ya Gaza, kimya cha watu wa makaburini, bali hawakukata uhusiano wao na shirika lao la uhalifu, bali baadhi yao walikuwa wakiwapa silaha, vifaa na sababu zingine za maisha; wapatanishi hao wanaojivunia kutoa misaada kwa watu wa Gaza, si waaminifu, bali wanaelemea zaidi upande wa shirika la Kiyahudi, na watiifu zaidi kwa bibi yao Amerika.

Hizb ut-Tahrir imetaja katika machapisho yake kwamba makubaliano haya yametiwa sumu, kwa maana kwamba yamejaa mianya ambayo shirika la Kiyahudi linaweza kuitumia kuhalalisha kuvunja makubaliano, na hili limethibitishwa na wachambuzi wengi, pamoja na ukweli kwamba historia ya Mayahudi imetiwa weusi na kurasa za ukiukaji wa ahadi na mikataba, kuanzia kuwaua manabii wao, kupitia historia yao nyeusi na Mtume Muhammad ﷺ, kisha tabia yao huko Ulaya hadi walipowalazimisha kuishi katika makazi maalum, na kuwalazimisha sheria za ubaguzi wa rangi ambazo waliwatenga kupitia hizo, na si mwisho tabia yao chafu huko Palestina na Lebanon.

Enyi Waislamu: Hakika maadui zenu wanajua kwa yakini kushindwa kwao kuwakabili katika vita vya kweli ambavyo vinaongozwa na viongozi waaminifu, lakini msiba wenu uko katika watawala wenu, ambao wanawatumikia mabwana zao kutoka mataifa ya kikoloni, na wanatumikia shirika bovu la Kiyahudi, na hawazingatii haki yenu, wala hawahifadhi heshima yenu, na wanafanya njama na maadui zenu dhidi yenu, basi zingatieni yanayotokea na imarisheni jambo lenu, na fanyeni kazi na Hizb ut-Tahrir ili kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume, ndani yake kuna utukufu wenu, na kupitia hiyo ushindi dhidi ya maadui zenu, Amesema Subhaanahu wa Ta’ala: ﴿Piganeni nao, Mwenyezi Mungu atawaadhibu kwa mikono yenu na atawahiliki na atakunusuruni juu yao na ataponya vifua vya watu wanaoamini, na ataondoa uchungu wa nyoyo zao na Mwenyezi Mungu humpokea amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye hikima﴾.

Ofisi Kuu ya Habari

kwa Hizb ut-Tahrir

Official Statement

المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

المكتب الإعلامي المركزي

Media Contact

المكتب الإعلامي المركزي

Phone: 0096171724043

Fax: 009611307594

Email: media@hizb-ut-tahrir.info

المكتب الإعلامي المركزي

Tel: 0096171724043 | media@hizb-ut-tahrir.info

Fax: 009611307594

www.hizb-ut-tahrir.info

Reference: PR-019a0908-5b70-780a-83b8-6dcc00edf909