Organization Logo

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

Tel: 0096171724043

Fax: 009611307594

ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

http://www.hizb-ut-tahrir.info/

Mauaji na Njaa ya Watoto wa Gaza Haitaisha kwa Mipango ya Wanao Husika na Mauaji ya Kimbari, Bali kwa Kusonga Mbele kwa Majeshi ya Waislamu
Press Release

Mauaji na Njaa ya Watoto wa Gaza Haitaisha kwa Mipango ya Wanao Husika na Mauaji ya Kimbari, Bali kwa Kusonga Mbele kwa Majeshi ya Waislamu

October 11, 2025
Location

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mauaji na Njaa ya Watoto wa Gaza Haitaisha kwa Mipango ya Wanao Husika na Mauaji ya Kimbari

Bali kwa Kusonga Mbele kwa Majeshi ya Waislamu

(Imetafsiriwa)

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, watu wa Gaza wamekuwa wakikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara, mzingiro wa kikatili, na uhalifu mbaya zaidi mikononi mwa adui muovu wa Kiyahudi, ambapo wanawake na watoto walikuwa wahanga wakuu. Watu 65,000 wameuawa, wakiwemo zaidi ya watoto 20,000, sawa na watoto 30 kwa siku. Watoto waliuawa kwa makusudi na risasi za wanajeshi wa Kiyahudi au moto wa ndege zisizo na rubani mitaani, au hata walipokuwa wanatafuta chakula katika vituo vya misaada ambavyo vimekuwa "mitego ya mauti" kwa wenye njaa. Kulingana na Shirika la Save the Children, watoto waliuawa au kujeruhiwa katika zaidi ya nusu ya mashambulizi mabaya katika maeneo ya usambazaji wa chakula ndani ya wiki nne tangu Shirika la Gaza la Kibinadamu lianze shughuli zake. Mashambulizi ya mara kwa mara na vikosi vya Kiyahudi yamesababisha ulemavu kwa zaidi ya watoto 21,000, na kuifanya Gaza kuwa nyumbani kwa idadi kubwa zaidi ya watoto waliokatwa viungo kuliko mahali pengine popote ulimwenguni. Kulingana na UNICEF, mgogoro wa utapiamlo huko Gaza umefikia viwango vya janga, na ongezeko la 500% la idadi ya watoto wanaougua utapiamlo mkali tangu mwanzo wa mwaka, na watoto wote walio chini ya umri wa miaka mitano - zaidi ya watoto 320,000 - wanakabiliwa na hatari ya utapiamlo mkali, huku zaidi ya watoto 150 wakifariki kutokana na njaa.

Hata hivyo, mataifa ya kikoloni ya Magharibi ambayo yamekuwa yakishiriki katika mauaji haya ya kimbari kupitia ufadhili na upeanaji silaha kwa adui wa Kiyahudi, sasa yanatoa mipango yao ya mustakabali wa Gaza, kana kwamba wao ni "watengeneza amani", na wanaamuru Wapalestina jinsi ya kutawala ardhi yao, kana kwamba ni yao! سبحانه وتعالى anasema: ﴿Na wanapoambiwa: Msifanye uharibifu katika ardhi, husema: Bali sisi ni watengenezaji. * Jueni kwamba wao ndio waharibifu, lakini hawajui﴾.

Iwe ni "Mpango wa Trump" ambao unatafuta kuunda aina mpya ya uvamizi huko Gaza, na kuikabidhi kwa Amerika, au ni utambuzi wa taifa bandia la Palestina lisilo na maana kutoka Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za Magharibi ndani ya suluhisho la mataifa mawili, mipango hii inalenga tu kutoa njia ya uhai kwa adui wa Kiyahudi ili kumhifadhi na kumlinda, na haitoi manufaa yoyote kwa Wapalestina, na manufaa gani yanaweza kutoka kwa wale walioanzisha na kumlea adui wa Kiyahudi, na walikuwa msaidizi na ngao kwa uhalifu wake?! Mipango yao inatoa nini isipokuwa hisia bandia ya faraja hadi umwagaji damu uanze tena?! Zaidi ya hayo, ni wazi kabisa kwamba adui wa Kiyahudi hatasimamisha vita vya mauaji ya Wapalestina hadi atakapofikia lengo lake kuu la kuanzisha "Israeli Kubwa," kwa hivyo mauaji haya ya kimbari na janga linalojirudia halitaisha hadi uvamizi utakapoondolewa kutoka kila inchi ya Palestina. Na hili halitawezekana isipokuwa kwa kusonga mbele kwa majeshi ya Waislamu ambayo Mwenyezi Mungu سبحانه وتعالى amewakabidhi jukumu la kuwatetea Waislamu na kukomboa ardhi zetu.

Kwa hivyo tunawauliza ndugu zetu katika majeshi ya Waislamu, mnasubiri nini kabla ya kuitikia amri ya Mola wenu ya kulinda umma wenu na kuukomboa kabisa kutoka kwa uvamizi huu wa saratani? Ni udhuru gani mtakao mpa Mola wenu kwa kushindwa kwenu kuwatetea Waislamu, Msikiti wa Al-Aqsa, na Ardhi Takatifu? Lazima mkabiliane na adui wa Kiyahudi na kukomboa ardhi ya Israa na Mi'raj. Kwa hivyo, songeni mbele sasa ili kuwaondoa hawa watawala wasaliti ambao wanafanya kazi kama safu ya mbele ya ulinzi kwa uvamizi, ambao sasa wanafurahia mpango mbaya wa Trump; na simamisheni Khilafah Rashidah kwa msingi wa Utume mara moja juu ya magofu yao, ndiyo pekee itakayohakikisha kukomesha mauaji ya kimbari dhidi ya umma wenu milele, Mwenyezi Mungu anasema: ﴿Na mna nini hamkupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu na kwa ajili ya wanyonge katika wanaume na wanawake na watoto ambao wanasema: Mola wetu! Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhalimu, na tujaalie mlinzi kutoka kwako, na tujaalie msaidizi kutoka kwako﴾.

Sehemu ya Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Official Statement

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

المركزي

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Media Contact

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Phone: 0096171724043

Fax: 009611307594

Email: ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

القسم النسائي في المكتب الإعلامي المركزي

Tel: 0096171724043 | ws-cmo@hizb-ut-tahrir.info

Fax: 009611307594

http://www.hizb-ut-tahrir.info/

Reference: PR-0199ce7c-4638-7aef-95f9-22e61242617c