Kituo cha Televisheni cha At-Tanasuh: Je, Wadrusi wanatishia umoja wa ardhi ya Syria?!
Kituo cha Televisheni cha At-Tanasuh kilimkaribisha mwalimu Ahmed Al-Qasas, mwanachama wa ofisi kuu ya habari ya Hizb ut-Tahrir, katika kipindi cha "Mijadala ya At-Tanasuh" kuzungumzia mada ya "Je, Wadrusi wanatishia umoja wa ardhi ya Syria?!".
Jumamosi, 24 Muharram Al-Haram 1447 Hijria, sawa na 19 Juni/Juni 2025 Miladia

