Televisheni ya Al-Waqiyah: Maoni ya Kisiasa "Watawala wa Taasisi ya Kiyahudi Wanashambulia Dameski na Watawala wa Syria na Uturuki Wanamuomba Washington!"
Maoni ya kisiasa ya kila wiki kutoka Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa
Kwa mwanazuoni wa kisiasa Ahmed Al-Khatwani (Abu Hamza)
Baitul Muqaddas - Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)
Jumatano, 21 Muharram Al-Haram 1447 Hijria, inayoambatana na 16 Julai 2025 Miladia
Kwa habari zaidi bonyeza hapa
