Televisheni ya Al-Waqiyah: Kipindi cha Masuala ya Umma "Baada ya kulipuliwa Iran... Je, eneo litawaka moto?!"
[Kipindi cha Masuala ya Umma]
"Baada ya kulipuliwa Iran... Je, eneo litawaka moto?!"
Wageni wa kipindi:
Dkt. Muhammad Malkawi (Abu Talha)
Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Jordan
Mwalimu Ahmed Al-Qasas
Mwanachama wa ofisi ya habari kuu ya Hizb ut-Tahrir
Mtangazaji wa kipindi:
Mwalimu Adnan Mazyane
Jumamosi, 18 Dhul-Hijjah 1446 Hijria sawa na 14 Juni/Juni 2025 Miladia
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
