Televisheni ya Al-Waqiyah: Mazungumzo ya Alhamisi "Uharibifu wa Kimfumo wa Elimu, Sehemu ya Vita.. Palestina kama Mfano!"
Mazungumzo ya Alhamisi yalifanywa na Televisheni ya Al-Waqiyah na Dkt. Yahya Jabr, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) yenye kichwa "Uharibifu wa Kimfumo wa Elimu, Sehemu ya Vita.. Palestina kama Mfano!".
Alhamisi, 19 Rabi' al-Awwal 1447 AH, inalingana na 11 Septemba 2025 BK
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
