September 25, 2025 376 views

Televisheni ya Al-Waqiyah: Mazungumzo ya Alhamisi "«Gaza» kati ya Meli ya Msimamo na Mkutano wa Kilele wa Doha!"

Televisheni ya Al-Waqiyah: Mazungumzo ya Alhamisi "«Gaza» kati ya Meli ya Msimamo na Mkutano wa Kilele wa Doha!"

Mazungumzo ya Alhamisi yamefanywa na televisheni ya Al-Waqiyah na mwalimu Abdul Raouf Al-Amiri mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Tunisia yenye kichwa "«Gaza» kati ya Meli ya Msimamo na Mkutano wa Kilele wa Doha!".

Alhamisi, 26 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawia na 18 Septemba 2025 Miladia

Kwa zaidi bonyeza hapa

WaqeyaTV

More from null