Televisheni ya Al-Waqiyah: Mazungumzo ya Alhamisi "Mpango Shetani wa Trump na Mapambano ya Matakwa!"
Mazungumzo ya Alhamisi yalifanywa na Televisheni ya Al-Waqiyah na Profesa Ahmed Al-Qasas, mwanachama wa ofisi kuu ya habari ya Hizb ut-Tahrir, yenye kichwa "Mpango Shetani wa Trump na Mapambano ya Matakwa!".
Alhamisi, 10 Rabi' al-Akhar 1447 Hijria, sawia na 02 Oktoba 2025 Miladia
Kwa zaidi bonyeza hapa
