Televisheni ya Al-Waqiyah: Majadiliano ya Alhamisi "Ishara za Mwitikio wa Umma kwa Suala la Ukhalifa!"
Majadiliano ya Alhamisi yaliendeshwa na Televisheni ya Al-Waqiyah na mwalimu Amer Abu Al-Reesh kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) yenye kichwa "Ishara za Mwitikio wa Umma kwa Suala la Ukhalifa!".
Alhamisi, 08 Muharram Al-Haram 1447 Hijria, sawia na 03 Julai/Julai 2025 Miladia
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
