September 23, 2025 437 views

Televisheni ya Al-Waqiyah: Mahojiano Maalum "Khilafah pekee ndiyo itarejesha utukufu wa Sudan..!"

Televisheni ya Al-Waqiyah: Mahojiano Maalum "Khilafah pekee ndiyo itarejesha utukufu wa Sudan..!"‎‎‎

Mahojiano maalum na idara ya wanawake katika ofisi kuu ya habari ya Hizb ut-Tahrir ndani ya shughuli za kampeni ya kimataifa iliyoandaliwa na idara ya wanawake yenye kichwa "Vita vya Sudan: Hadithi ya ukoloni, usaliti na kukata tamaa" na dada Ummu Akram na dada Hajar Belhaj walishiriki katika mahojiano.

Jumanne, 24 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawa na 16 Septemba 2025 Miladia

Kwa zaidi bonyeza hapa

WaqeyaTV

More from null