Televisheni ya Al-Waqiyah: Hotuba ya Ijumaa "Mifumo Inayo Ugonjwa wa Akili wa Kifirauni na Kiislamu!"
Sehemu ya hotuba ya Ijumaa ya Sheikh Fadhlah Yusuf Mukharza (Abu Hamam)
Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 16 Jumada al-Awwal 1447 Hijria, sawia na 07 Novemba 2025 Miladia