Televisheni ya Al-Waqiyah:Gaza yaangamizwa kikamilifu... na kukombolewa kidogo!!
Imenukuliwa kutoka kwenye jarida lililotolewa na Hizb ut-Tahrir lenye kichwa "Ni mojawapo ya mambo makubwa kutokombolewa Gaza kwa mikono ya wanajeshi wa Waislamu na kuondoa taasisi ya Kiyahudi, lakini inaangamizwa kikamilifu na kukombolewa kidogo kwa mpango wa Trump na usaliti wa watawala wa Waislamu!".
Imetayarishwa na kituo cha Al-Waqiyah
Jumamosi, 26 Rabi' al-Thani 1447 Hijria, sawa na 18 Oktoba 2025 Miladia
Kusoma jarida kamili bonyeza hapa

#Ghurika_la_Aqsa
#Maj eshi_Kuelekea_Aqsa
#Aqsa_Yaiomba_Misaada_Majeshi
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
