July 29, 2025 606 views

Jimbo la Misri: Uhamishaji wa Watu wa Al-Arish ni Uhalifu wa Kisiasa Uliofichwa kwa Kisingizio cha Maendeleo!

Jimbo la Misri: Uhamishaji wa Watu wa Al-Arish ni Uhalifu wa Kisiasa Uliofichwa kwa Kisingizio cha Maendeleo!‎‎

Kinachotokea Al-Arish ni utekelezaji wa moja kwa moja wa mfumo wa kibepari katika sura yake mbaya kabisa, na ni ukiukaji wa wazi wa hukumu za Kiislamu kuhusu pesa, umiliki na mamlaka. Serikali katika mfumo huu haiwaoni watu ila kama nambari, haioni ardhi ila kama fursa ya uwekezaji, na inatanguliza "maendeleo" kwa gharama ya heshima na haki. Na kuwatoa Waislamu kutoka katika nyumba zao na kubomoa mali zao bila ridhaa yao, hata kama inaonekana kuwa ni halali kisheria kwa mujibu wa mfumo wa Misri, lakini ni haramu kisheria, bali inahesabiwa kuwa ni uhalifu wa kisiasa kwa sababu ni dhuluma na uvamizi wa heshima za Waislamu.

Imetolewa na Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Misri

Jumapili, 25 Muharram al-Haram 1447 Hijria, sawa na 20 Julai/Julai 2025 Miladia

Eygpt

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti za Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Misri:

Tovuti rasmi ya Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Misri

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Misri

Ukurasa wa X wa Hizb ut-Tahrir / Jimbo la Misri

Eygpt

More from null