Organization Logo

تونس - المكتب الإعلامي

ولاية تونس

Tel: 71345949

Fax: 71345950

http://www.ht-tunisia.info/ar/

Jimbo la Tunisia: Risala ya rambirambi kwa mbeba da'wa, Mzee Bashir Qasila
Press Release

Jimbo la Tunisia: Risala ya rambirambi kwa mbeba da'wa, Mzee Bashir Qasila

June 25, 2025
Location

Risala ya rambirambi kwa mbeba da'wa

Mzee Bashir Qasila

﴿Miongoni mwa Waumini wapo watu waliosadiki ahadi waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Basi wapo kati yao walio kwisha timiza nadhiri yao,

na wengine wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo

Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Tunisia inamtangazia msiba wa mmoja wa wanaume wake kutoka kwa wabebaji da'wa, ami na ndugu simba wa da'wa Bashir Qasila, ambaye amefariki, siku ya Jumapili tarehe ishirini na sita ya Dhul-Hijjah 1446 Hijria, sawia na 2025/06/22 Miladia, baada ya kuugua, ugonjwa uliomlemaa mwili wake lakini haukuzima mwenge wa ujumbe wake wala azma yake ya kufanya kazi katika safu za wafanyakazi wa kurejesha maisha ya Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah Rashidah kwa njia ya Utume, na alikutana na giza la magereza na kubanwa katika riziki kwa sababu hiyo.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu amkubali miongoni mwa wema, na atukuke daraja yake katika waliyo juu, na awape ahli zake, jamaa zake na wapenzi wake subira, uthabiti na thawabu.

﴿Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye ndio marejeo yetu

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Katika Jimbo la Tunisia

Official Statement

تونس - المكتب الإعلامي

ولاية تونس

تونس - المكتب الإعلامي

Media Contact

تونس - المكتب الإعلامي

Phone: 71345949

Fax: 71345950

Email:

تونس - المكتب الإعلامي

Tel: 71345949 |

Fax: 71345950

http://www.ht-tunisia.info/ar/

Reference: PR-01979c50-07a0-7588-b8a2-2ae463ce7b92