Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Nani kwa Gaza Yatima?!

Nani kwa Gaza Yatima?!

Mnamo tarehe ishirini na nne Juni/Juni 2025 BK, vyombo vya habari rasmi vilitangaza kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Iran na taasisi ya Kiyahudi, na makubaliano hayo hayakujumuisha masharti yoyote kwa watu wa Gaza, ambao walipitia mambo machungu, kana kwamba Gaza si sehemu ya Umma wa Kiislamu, na kana kwamba wanawake wao si wanawake wetu, na watoto wao si watoto wetu! Kana kwamba Iran inataka kuuarifu ulimwengu mzima kwamba inawaangusha watu wa Gaza kwa kuonyesha nguvu zake za kijeshi na kimtandao, na uwezo wake wa kuifuta taasisi hiyo kutoka ardhini, baada ya kupata wafuasi kutoka mataifa ya Kiarabu na Magharibi na wabunge kutoka Magharibi, mpaka Umma ukafurahi na ari yao ikaongezeka, na heshima yao ikawa juu, na utu wao ukatukuka, wakaanza kuutazama ulimwengu kwa mtazamo wa heshima na hadhi, si kwa mtazamo wa unyonge na fedheha ya zamani.

Maulamaa Waovu Ni Janga Kwa Umma na Usaliti Kwa Dini

Maulamaa Waovu Ni Janga Kwa Umma na Usaliti Kwa Dini

Katika zama ambazo majanga yamekuwa yakimiminika juu ya umma na katikati ya harakati za wazalendo kuhamasisha nguvu zake ili kuurudisha ukiwa mtukufu kwa Mwenyezi Mungu na huru kutoka kwa minyororo ya maadui zake, Magharibi ilielekea kujaribu kuongeza muda wa usingizi huu kwa njia kadhaa za ujanja, pamoja na maulamaa waovu ambao waliuza dini yao kwa dunia ya watawala wao, wakawa wakazi katika majumba yao, walinzi wa dhuluma zao, na wahalalishaji wa upotovu wao. Wao ni hatari zaidi kwa umma kuliko maadui zake, kwa sababu wanaupiga kutoka ndani kwa jina la dini, na wanahalalisha dhuluma kwa fatwa bandia. Unawaona wanatanguliza utiifu kwa mtawala kuliko kumtii Mwenyezi Mungu, hivyo wananuna kuhusu dhuluma,

256 / 10603