Chama

Related Categories: Uongozi
Makala Iliyoangaziwa

Ni jambo la aibu kubwa kwa ndege za Wayahudi kupita anga ya tawala kisha kushambulia Iran na kurudi salama bila kuzuiwa na tawala hizi hata kwa risasi moja!

Trump alitaja katika chapisho kwenye jukwaa la Truth Social: [Iran na Israel lazima zifikie makubaliano na zitafikia kama vile nilivyoifanya India na Pakistan kufikia makubaliano.. Akaendelea: Na vivyo hivyo kutakuwa na amani hivi karibuni kati ya Israel na Iran, kuna mazungumzo na mikutano mingi inayoendelea sasa. Sky News, 2025/6/15]. Msemaji wa jeshi la utawala wa Kiyahudi kupitia jukwaa la "X" alisema siku ya Jumapili [Kwamba Israel imetoa onyo kwa Wairani wanaoishi karibu na mitambo ya nyuklia nchini Iran kuhamisha makazi yao... huku msemaji wa jeshi la Israel akisema kuwa jeshi

Soma zaidi
6 / 13