August 23, 2025 1553 views

Ofisi Kuu: Sehemu ya Wanawake "Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Uasi na Kukatishwa Tamaa"

Ofisi Kuu: Sehemu ya Wanawake

"Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Uasi na Kukatishwa Tamaa" 

Mzozo wa kikatili nchini Sudan kati ya Jeshi la Wanajeshi la Sudan linaloongozwa na Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, mtawala wa Sudan, na kundi la kijeshi, Vikosi vya Msaada wa Haraka vinavyoongozwa na Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), naibu بروفايل حرب السودانwa zamani wa Al-Burhan katika Baraza la Utawala, umeingia katika mwaka wake wa tatu sasa.

Baadhi ya makadirio yanaonyesha kwamba idadi ya vifo imefikia 150,000 huku ukatili mkubwa ukifanywa na pande zote mbili, ikiwa ni pamoja na mauaji ya kinyama, mateso, na ubakaji wa halaiki. Pia, operesheni za utakaso wa kikabila zimeripotiwa, pamoja na mauaji yaliyofanywa katika miji, vijiji na kambi mbalimbali za wakimbizi.

Vita vimesababisha mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu, mgogoro mkubwa zaidi wa uhamaji, na mgogoro mkubwa zaidi wa njaa duniani, ambapo nusu ya watu milioni 50 wanakabiliwa na njaa. Hata hivyo, mzozo huu umeelezwa kama "vita vilivyosahaulika" na "mgogoro uliofichwa na usioonekana" kwa sababu haujapata usikivu wa kimataifa na utangazaji wa vyombo vya habari vya kimataifa unaostahili.

Kwa hivyo, Sehemu ya Wanawake katika Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir imezindua kampeni ya kimataifa ili kuangazia janga linalozidi kuwa mbaya la kibinadamu linalowakabili Waislamu wa Sudan.

Kampeni hiyo pia itashughulikia: siasa na ajenda zilizofichwa nyuma ya mzozo huo, nchi za kikanda na kimataifa zinazodhamini vita, sababu zake, historia ya Sudan, mambo ambayo yalisababisha migogoro yake ya hivi karibuni na kushindwa kwake kiuchumi, na kwa nini mfumo wa kidemokrasia utashindwa kutatua matatizo ya Sudan mengi ya kisiasa, kiuchumi, kikabila na kijamii, na jinsi uongozi wa Kiislamu wa Dola ya Khilafah Rashida unaweza kujenga mustakabali mzuri, salama na wenye mafanikio kwa Sudan na nchi zingine za Kiislamu.


             ﴿Enyi mlioamini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapokuiteni kwenye lile linalokuhuisheni﴾

[Surah Al-Anfal: 24]

Sehemu ya Wanawake katika Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir

Jumatatu, 10 Safar al-Khair 1447 Hijria sawa na 04 Agosti 2025 Miladia

 N CMO

- Kufuatilia Kampeni katika Lugha Nyingine -

En Tr
Gr SW
Ur fr
Pe

 N CMO

Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari ya Sehemu ya Wanawake

ambayo ilitangaza uzinduzi wa kampeni yake ya kimataifa yenye kichwa:

"Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Uasi na Kukatishwa Tamaa"

Jumatatu, 10 Safar al-Khair 1447 Hijria sawa na 04 Agosti 2025 Miladia

Bonyeza hapa

N CMO

Tangazo la Uzinduzi wa Kampeni ya Kimataifa

"Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Uasi na Kukatishwa Tamaa"

N CMO

2025 08 12 WS WAQIYA PANEL PIC

N CMO

11d4fee0 895a 42ef 9843 b6c945191a0c

N CMO

- Hashtags za Kampeni -

#أزمة_السودان

Face Twitter Insta

#SudanCrisis

Face Twitter Insta

#SudanKrizi

Face Twitter Insta

SoudanCrise#

Face Twitter Insta

N CMO

- Kufuatilia Kampeni ya Kimataifa katika Mitandao ya Kijamii -

Facebook: QANITATHT1

Twitter: @ALQANITAT

Instagram: @WOMEN_SHARIA

N CMO

غلاف السودان15

N CMO

sud1 sud2
sud3 sud4

 N CMO

IMG 4665 IMG 4666

N CMO

- Vipera -
Wilaya ya Sudan

Amerika inaharakisha mpango wake wa kutenganisha eneo la Darfur,na hakuna mlinzi ila kufanya suala la umoja wa nchi kuwa suala la hatima

18 Safar al-Khair 1447 Hijria sawa na 12 Agosti 2025 Miladia

 N CMO

- Taarifa kwa Vyombo vya Habari -
 Wilaya ya Sudan

Neno la msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan katika mkutano na waandishi wa habari

"Wito kwa watu wa Sudan.. Igundue Darfur ili isijiunge na Kusini"

22 Safar al-Khair 1447 Hijria sawa na 16 Agosti 2025 Miladia


Wilaya ya Sudan 

Mbwa-mwitu hawezi kulaumiwa kwa uchokozi wake ikiwa mchungaji ni adui wa kondoo

13 Safar al-Khair 1447 Hijria sawa na 07 Agosti 2025 Miladia 

Wilaya ya Sudan  

Uhusiano na nchi za kigeni ni wa serikali pekee,

More from null