Televisheni ya Al-Waqiyah: Darsa ya Msikiti "Suluhu kati ya wanandoa ikiwezekana, ni bora kuliko uchungu wa kutengana"
Darsa ya Msikiti kwa fadhila ya Sheikh Yusuf Mukharaza (Abu Hamam)
Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 25 Dhul-Qadah 1446 Hijria, sawa na 23 Mei/May 2025 Miladia
Kwa Zaidi Bonyeza hapa
