Televisheni ya Al-Waqiyah: Khutba ya Ijumaa "Uadilifu wa mambo unatokana na uadilifu wa watu wa nguvu, basi nyoosheni dini yenu!"
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Fadhila Sheikh Yusuf Mukharza (Abu Humam)
Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 14 Safar Al-Khair 1447 Hijria sawa na 08 Agosti 2025 Miladia