Televisheni ya Al-Waqiyah:Khutba ya Ijumaa "Tumedhalilika kwa kuacha hukumu ya Mwenyezi Mungu na hatutoheshimika ila kwa kuitekeleza!"
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya mheshimiwa Sheikh Youssef Mukharza (Abu Hamam)
Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 23 Muharram Al-Haram 1447 Hijria, sawia na 18 Julai/Julai 2025 BK