Televisheni ya Al-Waqiyah: Tafsiri ya Aya (143-144) kutoka Sura ya An-Nisaa
Wanaotangatanga baina ya hayo, wala hawako huku wala huku. Na yule ambaye Mwenyezi Mungu amemwacha apotee, basi hutampatia njia. (143) Enyi mlio amini! Msiwafanye makafiri kuwa ni marafiki badala ya Waumini. Je, mnataka kumfanyia Mwenyezi Mungu hoja iliyo wazi juu yenu? (144)
فضيلة الشيخ يوسف مخارزة (أبو الهمام)
بيت المقدس - الأرض المباركة (فلسطين)
Jumatano, 24 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria sawa na 16 Septemba 2025 Miladia
Kuangalia masomo yaliyopita bonyeza hapa