August 04, 2025 368 views

Televisheni ya Al-Waqiyah: Tafsiri ya Aya (135) kutoka Surah An-Nisaa

Televisheni ya Al-Waqiyah: Tafsiri ya Aya (135) kutoka Surah An-Nisaa

Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapo ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili,

na jamaa walio karibu. Akiwa tajiri au masikini, Mwenyezi Mungu anawastahiki zaidi. Basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu. Na mkipotoa au mkajitenga basi hakika Mwenyezi Mungu anajua khabari za yale mnayo yatenda. (135)

Imeandaliwa na Sheikh Yusuf Mukharza (Abu Al-Hamam)

Bayt al-Maqdis - Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)

Jumanne, 27 Muharram Al-Haram 1447 AH inalingana na 22 Julai/Julai 2025 BK

Kuangalia masomo yaliyopitabonyeza hapa

More from null